3
Shughuli za Kijamii Katika Jamii Yetu
Utasoma kuhusu mkutano wa kijiji kuhusu magonjwa, Umuganda na harusi, na utachambua hadithi mbili. Pia utatumia wakati uliotimilika, -a unganifu, ngeli ya LI-YA, vivumishi vya kumiliki, alama za uandishi na herufi kubwa kwa usahihi. (Social activities in our community.)