6
Ushairi wa Kiswahili
Utasoma na kuchambua mashairi matatu kuhusu uhifadhi wa mazingira, haki za binadamu, na kilimo na manufaa yake, ujifunze maana, sifa, tanzu na dhima ya ushairi, na uhakiki fani na maudhui yake. Katika sarufi utajifunza aina za sentensi kidhima na kimuundo, na uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya maneno. (Kiswahili poetry.)