by Ghanaian folktale
Mungu wa angani anaamua kumpa Buibui Anansi chungu cha hekima. Anasisimka sana kutokana na aliyojifunza mpaka anataka kukificha chungu hicho mtini ili afaidike peke yake. Kwa bahati mbaya, (lakini bahati nzuri kwa walimwengu), chungu kinaanguka na kuvunjika.
Publisher
Year
Licence
"Anansi awapa watu hekima" — author: Ghanaian folktale; illustrations: Wiehan de Jager; translation: Mutugi Kamundi. © African Storybook Initiative 2014. Licensed CC BY 4.0. Source: African Storybook, https://www.africanstorybook.org/reader.php?id=2234.
View the originalViolet Otieno
Tessa Welch
Winny Asara
Ursula Nafula
Ursula Nafula
Lindiwe Matshikiza