2
Mazingira ya Shuleni
Utasoma kuhusu maisha ya shuleni: vifaa vya darasani, mahali pa shule, wafanyakazi wake na ratiba ya siku. Utatumia wakati uliopo (kukubali na kukanusha), vihusishi vya mahali, wingi wa majina ya watu, viulizi “nani”, “lini” na “je”, siku za wiki na saa za Kiswahili. (The school environment.)